Pichani : AH , Mr H na Samantha. |
Kampuni ya Ikoh Multiservice imeweka bayana mradi wake wa * You’ll Love Changes * ikiwa ni hatuwa ya kwanza ya Album itayokuwa na sehemu mbali mbali yaani Vol 1 vol 2 kuendeleya .
Vol 1 ya Album hiyo inaongozwa na wasanii watatu wa muziki wa kizazi kipya nchini Burundi akiwemo Issa Jamal Yoya , Katihabwa Michelle Samantha na Richard's Francis namwata Timotheo a.k.a T.Max.
Jumaa nne tarehe 22/10/2013, Executive Director wa mradi huo Haruna Ikoriciza a.k.a Mr H alikuwa mgeni wa heshma kwenye radio Utamaduni (Radio culture ) kupitiya kipindi * Burundi beat * ambapo aliamtambilisha Samantha msanii wa kike anaye fanya vizuri na ambaye ni miongoni mwa wasanii waliomo katika album hiyo, na kujibu maswali mengi waliohojiwa kupitiya mpango huyo (Project) na mtangazaji Amidou Hassan
Kwenye baadhi ya maswali nyeti yaliyoweza kijibiwa na wegeni hao ni pamoja na :
-Mr H : " Ni mpango nilio ufikiriya kitambo ila kwasasa nina imani kuwa ndoto yangu itakamilika,nimeamuwa mwenye kuwateuwa wasanii hao watatu baada yakufanya uchunguzi wa kina ka utendaji kazi wao mzuri kwenye misimo miwili iliyopita , wasanii ni wengi mno na mara nyingi nilikos ni mteuwe nani nimuache nani! ila kwakuanza nimefkiriya hao watatu kwanza ila mwisho wa siku nikiaanisha miaka ijayo jopo la watangazaji waliobobeya kwenye ulimwengu wa promotion wa mziki wa burundi na wa producers wa mziki ndiyo watausishwa kwenye zoezi hilo la uteuzi. Ni mpango mkubwa utakao saidiya wasanii wetu kuzifanya kazi na wasanii wanaofanya vizuri kwenye kanda ya afrika mashariki , kazi zao sisi ndiyo tutajiusisha nakuzitangaza ulimwenguni . Album ya kwanza watatengeneza kila mmoja nyimbo moja moja na watafanya kolabo kati yao na wasanii nyota wa kanda ya afrika mashariki, baada ya hapo zitaandaliwa tamasha mbali mbali Mji mkuu na Mikowani, zawadi (Awards) zitatolewa kama kumbukumbu kwao . Studio yetu itapika nyimbo kadhaa ila endapo kati ya hao wasanii watakao hitajika wataitaji producer flani kwenye kanda nzima ataitishwa ao tumkute mahali atakapo kuwa ili awez kurikodi nyimbo zenyewe . Niya na mazumuni ya mpango huyo nikuleta mabadiliko nchini ndiyo kwa maana tumejitaidi kadri tutakavyoweza kuweka mambo yote kwenye usawa ili kuondowa shaka kwa washabiki na wadau wa mziki . Vifaa muhimu flani flani (Gari la kazi , bango zakuitangaza kampuni, vyombo vya ufundi kama camera mpya...vimeshawasili na vinginevyo mwanzoni mwa mwezi wa November vitakuwa tayari . Tuko na mpango vile vile wakufunguwa rasmi video online itayokuwa ikionyesha vipindi tulivyo anda kwa niaba ya wasanii hao watatu watakao simama na album *You'll love changes Vol. 1* , na matukio mbali mbali nchini ."
-Samantha : " Ni iteka ridasanzwe kuri jewe kubona nahitswemo kuri urwo rutonde , ndishimye kubona nzokorana nabantanguriye mumuziki na kare bompi ndabemera kubikorwa vyiza basanzwe barangura . Nkaba kandi nteye intege Mr H na Crew yiwe yose kurico ciyumviro kirashe kizotuma Uburundi bugira izina ryiza mumakungu kubijanye n'imicokama . Izoba ari iteka ridasanzwe kubona mpagaze na Juliana Kanyomozi Diva w'umuziki womubugande , Diamond , Ali Kiba; knowless , King James wo mu Rwanda canke Jaguar n'abandi batandukanye kuri studio turirimbana . Ndashinze intahe nshimira cane abo bose bita kurutare muguteza imbere igihugu cabo ."
- Akimaanisha kwakiswahili : " Ni heshma isiyokuwa na mfano kuona nimechaguliwa kwenye orodha hiyo , nafarijika kuona ntafanya kazi na walio nioneya juwa kwenye tasnia ya mziki , na sio siri nawakubali sana kwakazi nzuri wanayo ifanya . Nazitowa pongezi kwa Mr H na timu yake nzima kutokana na idea yao nyeti yakutuma nchi yao isonge mbele zaidi kwa upande wa utamaduni . Itakuwa ni heshma kubwa kuona mimi na wasanii kama Juliana Kanyomozi , Diamond , Ali Kiba , knowless , King James , Jaguar...nawengine tukiwa studio pamoja tunaimba . Natangaza rasmi kuwa sina kipengamizi naninatowa pongezi kwa ujumla kwa wale wote wanao jituma kwakusongesha mbele nchi yao ."
Pichani : Yoya , Fizzo na T Max |
Baadhi ya picha za gari itakayotumiwa kwenye shughuli zote za kampeni yakuiweka sawa kampuni ya Ikoh Multiservice . Apo ni Dubai , ilikuwa inapakizwa :
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire