|
Sasa / Kabla |
Angeishi maisha yake yote bila kufanya tangazo la dawa za meno ila kwa
sasa naamini kampuni nyingi zita mtafuta Ronaldinho baada ya kufanyiwa
marekebisho kwenye meno yake. Meno ya mwana soka huyu yalimsumbua kwa
muda mrefu kwani alikuwa akitaniwa na kushindwa kujiamini mbele za watu
kwa sababu ya kuwa na meno mabovu.Ukizingatia alishawahi kuwa mmoja ya wachezaji wanaolipwa zaidi duniani asingeshindwa kulipa Pauni 36,000 kwa marekebisho haya.
|
Akiwa hospital ana angusha kicheko... |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire