jeudi 12 septembre 2013

U.S.A : BTU imempata msanii wa kike...Kundi la BTU la vijana warundi makaazi yao ikiwa ni maandishi matatu USA limepanuka...,baada ya kuwa wanaume pekee yao sasa wamemuorodhesha binti ajulikanae kwa jina la ALINE KUBANDAMA a.k. Ali G kwenye kundi lao hilo katika jitiada zakujitangaza zaidi kwenye muziki . Alitwambia CHONGE P :" Tulikuwa tunahitaji sauti ya kike ndio kwa maana tulifkiria kujiunga na dada huu ambae anapenda na anao uwezo mkubwa kwenye tasnia hii ya mziki ." Aliendelea nakutambulisha kundi lao hilo ambalo liliwahi kutoa nyimbo ya ombolezo kwa waliokosa mali zao wakati Soko kuu ya Bujumbura ilipo unguwa, aliwatambulisha ifwatavyo :" Uwo yambaya muscle shirt ya white ni Hatati Bwingi , ,ariko izina dya stage ni BABBY .Nanje banyita congera pascal ariko izina rya stage ndi Chonge .Uwo yambaya glasses ni Nimpaye Venuste stage name ni Dj DogBee Uwo yifashe kumunwa ni ngabo jean de dieu,Stage name ni willy Jay ."

That's the whole proud of BTU And BTU present BURUNDI TANZANIA "UNITED-Together" .
Akimaanisha :" Uyo alievalia muscle shirt nyeupe ni HATATI BWINGI akijulikana kwenye jina la mziki kama Babby Black Mamba . Yeye anaitwa CONGERA PASCAL a.k.a CHONGE ,alievalia majineti ni NIMPAYE VENUSTE alias Dj DogBe . Aliejishika mdomoni anajulikana kwa jina la NGABO JEAN de Dieu a.k.a Willy Jay."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire