mardi 3 septembre 2013

LYDIA NSEKERA : Account namba 701-03303-82-23 inayojulikana kwa jina la FFB-CHAN 2014/Interbank imefunguliwa kwa kusapoti timu ya taifa...

Lydia Nsekera lors de la conférence de presse (www.akeza.net)
Kwenye mkutano alio uendesha leo hii mama Lydia NSEKERA , kiongozi wa Shirikisho la mpira nchini alifahamisha waandishi na watangazaji kuhusikana na account kwenye Interbank Burundi namba 701-03303-82-23 kwa jina la FFB-CHAN 2014. Imefunguliwa kwa niaba yakuanda bahasha nono kwa wachezaji wa timu ya taifa Intamba Murugamba wtakao wakilisha Burundi kwenye mashindano ya CHAN mwakani nchi South africa . Wachezaji hao watakao jielekeza pande zile ni wale watakaocheza nchini kenya mashindano ya CECAFA mwezi wa November hapatakuwepo mabadiliko yoyote ila tu pakitokea hali ya sintofahamu kwa wachezaji .

FFB itaraissisha vile vile kupatikana kwa tiketi zakushughudia michuano ya kombe la dunia kati ya tarehe  8 December 2013 na  8 January 2014. Tarehe yakugawa timu kwenye makundi kwenye CHAN imepangwa kufanyika tarehe 18 September 2013 nchini Misri.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire