mercredi 4 septembre 2013

Primusic 2013 : JAGUAR asubiriwa kwenye fainali...

Msanii kutokea kenya anaetambulika kama JAGUAR ndie ataichukuwa na fasi ya msanii wa kike MAMPI aliekuwa ametajwa kabla kuwa atadumbwiza siku ya fainali ya mashindano ya PRIMUSIC 2013 . Mabadiliko hayo yamejitokeza kutokana na muda wa Tamasha aliekuwa ameipangilia MAMPI kuwasili Burundi kuna nyingine ambayo anahitajika sana . 


 JAGUAR atawasili Burundi baada yakutofika kwenye tamasha ya *Buja Summer fest* aliokuwa amealikwa ila pakawepo hitilafu flani kuhusikana na matakwa yake akawa hakuweza kutokea . Msanii huo ambae anamiliki ndege yake binafsi tayari alishaongea na sim na msanii Big Fizzo ili watoe nae pini , Fizzo yuko tayari na hio itafanyiwa atakapokuwa ziarani Burundi . Kwa wale wa penzi wa mziki nchini , mnafahamishwa kuwa tamasha ya try out , yamaonyesho ya wasanii 6 waliojaliwa kuingia kwenye fainali itafanyika tarehe 8/September/2013 COCKTAIL BEACH kuanzia saa nane mchana . Habari ndio hio...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire