mardi 17 septembre 2013

Bongo News :Ommy Dimpoz tayari kwa Pozi kwa pozi USA Tour,ameondoka Tanzania Tarehe 16/9/2013.


OMARY Faraji NYEMBO maarufu kama Ommy Dimpoz ameondoka nchini Tanzania na K Martins msanii mwenza kutokea Nigeria hapo jana tarehe 16/9/2013 kuelekea Marekani kwenye bonge za show zinazo kwenda na jina " Pozi Kwa Pozi USA Tour ". Mji wa kwanza Utakuwa Washington DC. Ziara hiyo ya Marekani anamulika kurusha vumbi kwenye majiji matatu . Hit maker wa *Me and you * amesaini mkataba huo toka mwezi June na kampuni ya DMK Global Promotion ya mtanzania ayishiye USA. Gahunda ya Tamasha zake hii apa :
 Ommy-2


- 21/9/213 : Washington DC

-28/9/2013 : Houston/ Texas

-5/10/2013 : Los Angeles.
 Ommy-3


Kwa muujibu wa habari tulio nayo tulipofanya interview na OMMY alipokuwa Bujumbura siku ya Eid ndogo ,alitufahamishaga kuwa :" Kampuni ya DMK GLOBAL PROMOTION ni Kampuni kubwa kwani kabla yangu iliwahi kuwasafirisha Wasanii wenza kama Mr NICE , ALIKIBA,DIAMOND , HAFSA KAZINJA , KHADIJA KOPA , LINNAH na hatimaye mimi . Na ahidi makamuzi kwenda mbele."
Fahamu vile vile ya kuwa Dimpoz alifanyiwa Party kubwa amefanyiwa star wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz, ilipambwa na marafiki na stars tofauti kutoka Tanzania . J Martins, Ay ,Mwana Fa, Fid q ,Carol Ndosi, Dj Summer, Dj Bike, Salma Mzirai, Man Walter, Tahjir, Salama J, C pwaa, Wakazi, na wengine wengi . Zawadi ya Ommy Dimpoz kutoka kwa J Martins ilikuwa cheni yenye Thamani ya Dola Za Kimarekani Elfu Kumi, $10000 Dollars.
Usiku Wa kuamkia tarehe 16/9/2013 palikuwa na show kubwa Dar es salaam iliyopewa jina la Tupogo Nite ft Ommy Dimpoz, J Martins, Mwana F A AY na Christiane bella ...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire