|
Nyumba ya Madee |
Msanii wa bongo maarufu kama
Madee yapata miaka 4 yupo anatengeneza nyumba sehemu pajulikanapo kama Mbezi ; msanii huyo alipo ulizwa siku yakuhamiya kwenye nyumba yake hiyo iliomgharimu takribani milioni 125 alisema kuwa anapangilia kuhamiya emo ifikapo tarehe yakukumbuka siku yakuzaliwa (Birthday) ; itakuwa tarehe 23/4/2013 .
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire