mardi 3 septembre 2013

U.S.A :Cover Art, Orodha Ya Nyimbo Na Link Ya Mixtape Mpya Ya Lil Wayne' Dedication 5' Ziko Hapa.

Muendelezo wa Mixtape za Lil Wayne *Dedication* unaendelea na sasa imetoka *Dedication 5*. Dj Drama producer wa Mixtape za Wizzy alisema mapema kuwa Mixtape hii itakuwa na Freestyles [Mitindo Huru] zaidi.

Download Mixtape kwenye link Hii Hapa DatPiff.com

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire