lundi 16 septembre 2013

Primusic 2013: Ujumbe washukrani kutoka kwa kampuni ya Brarudi + Picha za Lolilo,Farious,Sat b...

ELOGE NZEYIMANA.
Baada ya mashindano ya Primusic 2013 kumalizika juzi Jumaa-mosi ,huu ni ujumbe rasmi uliogazwa na ELOGE NZEYIMANA , Kiongozi wakupasha habari kupitia mashindano ya Primusic kwa Jopo nzima ya Watangazaji waliojitolea kwakufahanikisha mchakato mzima wa mashindano ya mwaka huu :Mesdames, messieurs des médias,

C’est avec une grande fierté que Brarudi annonce la clôture en grande pompe de la 2ème édition de PRIMUSIC aux amateurs de Primus et de la chanson.

Ni kwamajivuno makubwa ambayo Kampuni ya vinywaji  Brarudi  inakutangazieni kumalizika kwa mashindano ya mwaka wa pili ya Primusic kuwapenzi  wa kinyaji Primus na mziki.


Hier, 14 septembre 13, plus de 14 000 spectateurs ont pu assister à un spectacle de grande qualité, au Lycée Scheppers de Nyakabiga, pendant lequel les 6 finalistes de PRIMUSIC ont encore une fois montré leurs talents et démontré le réservoir de talent que constitue le Burundi.

Jana,nikimaanisha siku ya Jumaa-mosi  tarehe 14 September       2013 ,zaidi ya washabiki 14  000    ndio walipata fursa yakushughudia moja kwa moja tamasha yenye ujuzi wa hali ya juu na yenye kutaka   kwenye shule la Secondari la SCHEPPERS  tarafani Nyakabiga ,ambapo wasanii 6   waliojikatia tiketi yakushiriki kwenye fainali walionyesha ujuzi usiokuwa na mfano wa   uzoefu  na vipaji vya wasanii  nchini . 

Le jury, après un débat de près d’une heure, a donné son classement et le grand gagnant n’est autre que Patient MATABARO suivi de Samantha, Christian, El Pedro, Olga et Gaby, dans l’ordre.

Jopo la wachakachuwaji, baada yakuingia falaha zaidi ya saa nzima  , walidondoa msimamo wa mwisho  nakumtangaza Patient MATABARO   mshindi akifatwa na Samantha,Christian,El pedro,Olga na Gaby walivyofatana.

La Brarudi souhaite à cet effet, remercier le jury de PRIMUSIC pour son travail remarquable tout au long du concours, les médias, les ambassadeurs qui ont accompagné la compétition et les candidats, sans oublier Madame Denise Gordon qui a permis aux candidats d’aller jusqu’au bout de leur talent.

Kampuni ya Brarudi inahitaji kuzipeleka salamu za rambi rambi kwa kamati ya Jury  ya Primusic   kwakazi isiokuwa na mfano walio ifanya   mdaa wote wazoezi hilo, waandishi habari,Wabalozi walio washindikiza wasanii waliopambana ,bila kusahau Mwanamama Denise Gordon alie wasaida hadi kufikia kwenye level kubwa zaidi  .

Des artistes de renom étaient également présents parmi lesquels Fariaz dont la performance a été très applaudie et remarquée ainsi que le Kenyan Jaguar.

Wasanii wenye ujuzi mkubwa walitowa mchango mkubwa kwakufahanikisha mpango mzima,alikuwepo Farious ambae alishabikiwa mwanzo mwisho na bila kusahua Jaguar kutokea kenya .

Fort malheureusement, pour des raisons indépendantes de la volonté de Brarudi et de Jaguar lui-même, ce dernier n’a pas pu se produire sur la scène de la finale de PRIMUSIC. Brarudi et Jaguar tiennent à ce sujet à exprimer leurs excuses sincères aux milliers de spectateurs présents ce Samedi 14 septembre 2013.

Bila kutegemeya ,kutokana na sababu zisizoeleweka  kwa upande wa Brarudi na Jaguar mwenyewe       , huu apa hakuweza kuimba  kwenye jukwaa siku hio ya fainali ya Primusic . Brarudi na Jaguar wanaichukuwa fursa hiyo kutaka msamaa kwa maelfu ya raia waliokuwa  tayari kumpokea siku hio ya tarehe 10 September 2013 .

Nous espérons néanmoins que cette fausse note ne viendra pas ternir un spectacle par ailleurs excellent et nous tenons à remercier les milliers de spectateurs qui étaient présents lors de la finale, de la demi-finale, des quarts de finales et des éditions provinciales. Sans eux et sans les nombreux votants, sur SMS et Internet, PRIMUSIC 2ème édition ne serait pas le succès qu’il est.

Tuna amini kuwa kosa lililojitokeza  halitorejeya tena nakutowa shukrani za dhati kwa umati wa raia waliojitokeza siku hio ya fainali   , nusu fainali   ,robo fainali na hadi duru ya mtowano  kwenye ngazi ya Mikoa .Bila wao  ,bila uchaguzi wao,kupitia internet na Ujumbe mfupi , Primusic kwenye mwaka wake wa pili haingelepata sifa inayo kwasasa.

Cordialement

Description : BrarudiFinalLogo4_2
Description : HNV_Endors_Signature

Eloge Nzeyimana
Assistant Communication Externe

BAADHI YA PICHA :


Lolilo na Loliane jukwani...
Pichani : Fizzo na Uncle Crazy wakiwa wanaimba nyimbo *Umechokoza nyuki*

Fizzo pichani na kundi lawalio mchezea...
Sat b  na kundi la Top Dance jukwanii...
Jury: Arnaud  ,Amir pro, Alida  , Sogo & Buddy...
 Izo ndizo shirt walizokuwa wamevaa...
Podium  iliotumiwa kutokea Uganda...
Steven Sogo na Hope Street...
Sat b jukwakani aki imba  hit song *  Nyanzobe *
Fizzo jukwani...
Mjomba na Mwipwa wake / Fizzo &  Gisazi...
Maskini JAGUAR,mara ya pili kutoka bila kuimba...
Jaguar ali imba dakika 3 tu kisha tatizo la umeme likatokea...
Fizzo alipowasili ukumbini...
Top Dance

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire