vendredi 9 août 2013

Primusic 2013 : Washindi wa Mikoa ya Mwaro,Rutana na Makamba...

Mashindano ya Primusic 2013 yaliendelea toka alkhamis kwenye mikoa yakusini mwa nchi , washindi waliopatikana walikuwa ni hao wafwatao :

MakambaNshimirimana Laetitiana  na Angelo Dusabeyezu.



* Rutana : Clement Nsengiyumva na Florent Igirukwayo.




Mwaro : Irandagiye Marie Aletha na Yves kamikiwe.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire