|
Walioshiriki Mkoani Bujumbura. |
Mashindano ya Primusic mwaka 2013 siku 3 mfululizo yalifanyika kwa uficho , mbele ya majaji ndipo walipo shindana wanamziki wa Mkoa wa bujumbura kati ya wasanii wengi waliokuwa wameirodhesha wakifkisha idadi ya wasanii 140 , ila 86 pekee ndio waliojitokeza kupambana na 20 pekee yao ndio walipata fursa yakuingia kwenye ngazi ya mtoano wa moja kwa moja na kati ya hao 20 patapatikana 8 watakao wakilisha Mkoa wa Bujumbura . Hapakuwepo mshangao mkubwa kwani wasanii wanao zoweleka sana kwenye gwaride ya mziki nchini wamejiakatia tiketi yakuendelea nakuipata fursa yakushindana kwenye fainali ya Mkoa wa Bujumbura itakayofanyika siku ya Jumaa-mosi tarehe 17/August Tarafani Kanyosha.
|
Baadhi ya watangazaji waliohudhuria Mkoani Bururi ... |
Kumbuka ya kuwa siku ya Jumaa)pili Mkoani Bururi ,Tarafani Rumonge walishindana wasanii 10 na kati yao pakawa pamepatika 2 watakao wakilisha Mkoa wao . Jopo la Watangazaji kutoka medium tofauti zilidhuru tarafa hiyo kujionea moja kwa moja mashindano hayo. Kwa ujumla waliohudhuria walikuwa wengi mno.
|
Mkomboz aliacha wa fans wake hoyi... |
|
Jumla ya Wasanii 10 walishindana pakiwemo :
|
10 waliopambana. |
Niyonzima Boaz a.k.a DYD
, Bimenyimana Pancras , Niyondavyi Lambert , Irakoze Willy , Nivyavyo
Fay Isai, Butoyi Ernest , Kalume Enock , Bukuru Pierre , Nivyabandi
Pascal na Rukundo Franck .
|
Black Snakes walikuwepo. |
Kama ilivyokuwa mazowea ya kilapanapofanyika mashindano kwenye Mkoa na pakiwa pameandaliwa Tamasha huwa wanateuliwa wasanii 10 kati ya walio jiorodhesha wanapambana mbele ya washabiki wa mziki. Ivo basi kati ya hao 10 waliopambana NIYONZIMA Boaz na BIMENYIMANA Pancras alias TISALONIC ndiwo wabalozi wa Mkoa wa Bururi kwenye ngazi ya robo fainali Mjini Bujumbura . Ifahamike ya kuwa Wasanii SAT B ; RALLY JOE na MKOMBOZ walijijengea heshma kwa burudani safi walio itowa kwa umati wa watu waliohudhuria kwenye Tamasha hio kubwa ya kusaka wabalozi watakao pigani milioni 15 sarafu za Burundi. Kwa muujibu wa habari kutoka kati ya Viongozi na wanao utowa mchango mkubwa kwakufahanikisha zowezi hilo kwa upande wa uandishi habari EXCELLENT NIMUBONA,binafsi anakiri kuwa :"Nafurahishwa sana na vipaji vya vijana wa Mikoa flani flani ya Burundi,aliesema kuwa Burundi tunaweza namimi nampa sapoti,kwa kweli Brarudi ilichukuwa jukumu mdaa wenyewe. nawaomba wazidishe juhudi wasichoki
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire