mercredi 21 août 2013

AFNB : Michuano ya Ntahngwa ngazi ya 1/4 final ilianza jana : Ratiba kamili



Santos Fc
HAPO JANA TAREHE 20/8/2013 KWENYE UWANJA ULIOKO KARIBU NA FUKWE LA NTAHANGWA BARABARA YA 7 NDIPO ILIANZA RASMI MICHUANO YA TOURNEMENT YA TIMU 8 ZINAZOJIANDA NA LIGI INAYOMULIKIWA MAPEMA MWEZI WA TISA BAADA YA KUHITIMISHWA KWA TOURNRMENT HIYO. KWA MUJIBU WA HABARI TUNAZOZIPATA KWA UONGOZI WA AFNB ? IKIWA NI SHIRIKISHO LA MPIRA LA NTAHAGWA KWA TARAFA YA BUYENZI INAYOSIMAMIWA MIAKA MITATU SASA NA MH JAMAL NI KUWA WAMEANDA TOURNEMENT HIYO KWASHABA YAKUJIANDALIA LIGI KABAMBI INAYZIPAMBANISHA TIMU NYINGI NA JUMLA INACHEZWA MICHUANO 195 NA KILA TIMU INAPASWA KUTOWA KITITA CHA PESA TAKRIBANI ELFU 20 KWAKUJIANDIKISHA? NA KILA MCHUANO TIMU INALAZIMIKA KUTOA KITITA CHA PESA 500 PESA HIZO ZINASAIDIA KULIPA MAREFA,WAOKOTA MIPIRA NA KAMISHNA WA MATCH ./JUMLA KWA TIMU 2 NI 10.000FRSBU ,3000 REFA,3000 WAOKOTA,1000 KAMISHNA WA MCHUANO ,YAANI JUMLA KWA HIZO PESA 10000 TUNAWEKA 3000 VINGINEVYO ZINAZOBAKI NDIZO ZINAZOSAIDIA KWA UNUNUZI WA NGOMBE NA ZINGINE TUNZO ZA WANAKAOSHINDA YAANI KUFIKA FAINALI  . MH JAMAL TULIPO HOJIANA NAE ALITUFAHAMISHA KUWA : NIA YETU NIKUEPUKANA NA UZEMBE ,KUDUMISHA AMANI NA KUDHIHIRISHA MARIDHIANO KATI YA WATU WA MTAAA WA BUYENZI JAPO LIGI INARUHUSU VIJANA HATA WA KATA ZINGINE .TUNAOMBA MSAADA KUTOKA KWA VIONGOZI TOFAUTI WA CHI HIYI ?KWANI NI SEHEMU NZURI INAYO WAPUMZISHA VIJANA HADI WAZEE KATI YA MIAKA 77 KUENDELEA ? UWANJA WENYEWE LAZMA UKARABATIWE VYAKUTOSHA KWANI WANAO UDHURU NI WATU TOFAUTI KUTOKA SECTA MBALI MBALI , TUNAOMBA KAMPUNI KUBWA KUBWA ZIJE KUWEKA MATANGAZO YAO KWANI TUNAPO ISABU KWA MCHEZO UMOJA HAPAKOSI KATI YA WATU 6000 , NI SEHEMU YA BURUDANI NA KWAO YAWEZA KUWA NI MANUFAA KWAKUTANGAZA BIDHAA ZAO. JANA NDIPO TOURNEMENT HIO ILIANZA A MCHUANO WA KWANZA UKAZIPAMBANISHA TIMU YA SIX BOYS 1- 0 SANTOS . MICHUANO HIO INAENDELEA LEO ...



MSIMAMO KAMILI

GROUPE A
POINTS
GOAL
GROUPE B
POINTS
BUTS
1
SIX BOYS
15
16
1
TEN FREE MARKET
18
18
2
LA FREGATE FC
10
11
2
UMOJA FC
10
05
3
PROCOBU FC
09
11
3
AFRICA SPORT
10
11
4
COTEBU FC
08
08
4
SANTOS
10
11
                                    
ROBO FAINALI AWALI /QUART DE FINAL ALLER

20/08/2013
J-NNE/MARDI
SIX BOYS FC 1
VS
SANTOS FC 0
A
21/08/2013
J-TANO/MERCREDI
AFRICA SPORT
VS
LA FREGATE FC
B
22/08/2013
ALKHAMIS/JEUDI
PROCOBU FC
VS
UMOJA FC
C
23/08/2013
IJUMAA/VENDREDI
COTEBU FC
VS
TEN FREE MARKET
D

ROBO FAINALI MARUDIO /QUART DE FINAL RETOUR

29/08/2013
ALKHAMIS/JEUDI
TEN FREE MARKET
VS
COTEBU FC
A
30/08/2013
IJUMAA/VENDREDI
UMOJA FC
VS
PROCOBU FC
B
31/08/2013
J-MOSI/SAMEDI
LA FREGATE FC
VS
AFRICA SPORT FC
C
01/09/2013
J-PILI/DIMANCHE
SANTOS FC
VS
SIX BOYS FC
D

NUSU FAINALI AWALI / DEMI-FINAL ALLER

04/09/2013
J-TANO/MERCREDI
GAGNANT      A
VS
GAGNANT      C
05/09/2013
ALKHAMIS/JEUDI
GAGNANT      B
VS
GAGNANT      D

NUSU FAINALI MARUDIO / DEMI-FINAL RETOUR

07/09/2013
J-MOSI/SAMEDI
GAGNANT      D
VS
GAGNANT      B
08/09/2013
J-PILI/DIMANCHE
GAGNANT      C
VS
GAGNANT      A
MCHUANO WAKUANIA NA FASI YA 3 / MATCH POUR LA TROISIEME PLACE

14/09/2013
J-MOSI/SAMEDI
ATAKAE FUNGWA D & B    
VS
ATAKAE FUNGWA C & A    

FAINALI / FINAL

15/09/2013
J-PILI/DIMANCHE
MSHINDI   D & B
VS
MSHINDI  C & A

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire