Msanii wakizazi kipya ambae amejijengea jina kwa muda mfupi PAS LEE anazidi kupanuka kulingana na kazi nzuri anayo ifanya kimziki,baada yakuachia pini zake mpya kama *Dorofia* aliotengenezea kwa Kook Kay (Golden Records) , *Nakujali* kwa Clovis pro (Hope studio) na *Singo hii* aliorikodia kwa Zaki pro (Studio hio inapatikana Kamenge). Msanii huo ambae anatamba sana na pini *Kizunguzungu* alioshirikiana na CHUMA CHA CHUMA apo tarehe 27 /June anainza ziara yake nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (RDC) ambapo ataendesha tamasha babu kubwa 6 kwenye sehemu tofauti tofauti za Wilaya ya Baraka, Mboko na Misisi . Tamasha ya kwanza anamulika kuifanya tarehe 29,ya pili tarehe 30,zote zitakuwa zinaanza saa tisa (15h) , anamulika kurudi Burundi tarehe 15 July ili kujianda kurusha vumbi Bujumbura mbele yawashabiki wake ifikapo tarehe 29 July 2013 sehemu ambayo hadi mdaa huu hajaiweka wazi. Blog yenu yamtakia kila la kheri na mafaanikio mema...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire