dimanche 25 août 2013

AFNB : Matokeo ya ngazi ya Robo fainali awali kwenye Ligi ya Ntahangwa .

Uwo ni umati wa raia ambao mara kwa mara wanao kuja kutazama match.
Kwa upande wa michuano ya kujiandalia na Ligi kubwa ya msimu ujao kwenye A.F.N.B ,katikati mwa jumaa zilichuana timu tofauti, apo chini ni matokeo yote kamili ya duru ya awali kwenye shirikisho hilo. Ifahamike ya kuwa kama mnavyoshughudia kwenye kalenda hapo chini michuano hio inatizamiwa kuendelea na duru ya marudio ifikapo alkhamis ijayo. Watu mnaombwa kujifkia uwanja unaopatikana karibu na fukwe la ziwa Ntahangwa kujipatia uhondo tosha wa Vijana ambao tunaosadiki kuwa ni Burundi ya kesho .Lakufahamu lingine ni kuwa Tournement hio imefamyika kwa mchango tosha wa Kiongozi wa timu ya Aigles Noirs ya Makamba Mh Reverien NDIKURIYO . Milango bado ipo wazi kwa yeyote ule atakae kuwa na mchango ambao utakao kuja kudumisha uhisiano tosha kwa wakaazi wa Buyenzi na Tarafani jirani. Bado hadi mdaa huu shirika hilo linautowa wito kwa wawekezaji na kampuni mbali mbali kuwapa shavu ili sherehe zakugawa zawadi ziende sawa na wanavyohitaji .

ROBO FAINALI AWALI / 1/4 final aller

21/08/2013
J-TANO/MERCREDI
AFRICA SPORT 1
VS
 0 LA FREGATE FC
B
22/08/2013
ALKHAMIS/JEUDI
PROCOBU FC 1
VS
 1 UMOJA FC
C
23/08/2013
IJUMAA/VENDREDI
COTEBU FC 2
VS
 3 TEN FREE MARKET
D

ROBO FAINALI MARUDIO / 1/4 retour

29/08/2013
ALKHAMIS/JEUDI
TEN FREE MARKET
VS
COTEBU FC
A
30/08/2013
IJUMAA/VENDREDI
UMOJA FC
VS
PROCOBU FC
B
31/08/2013
J-MOSI/SAMEDI
LA FREGATE FC
VS
AFRICA SPORT FC
C
01/09/2013
J-PILI/DIMANCHE
SANTOS FC
VS
SIX BOYS FC
D

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire