Vital'o baada yakufanya operesheni nzuri kwakufunga mchuano umoja na kwenda sare michuano miwili,imejikatia tiketi yakuendelea nakuvuka duru ya pili , wadau na wadadidisi wa soka waipa kipao mbele Vital'o Fc ya Burundi kwenye mtanange huo . Ikumbukwe ya kuwa kwenye miaka 4 ya nyuma,tukitoa umoja ambao Atletico ndio ilikuwa balozi wa Burundi kwnye michuano hio,Vital'o Fc haijavuka ngazi hio. Kumbukumbuku ni kuwa mwaka 2010 nchini Rwanda iliondolewa na ATRACO ya Rwanda baada yakufungwa bao 2-0 . 2011 ikaondolewa na timu ya Saint George kutokea Ethiopia bao 2-0 ilikuwa nchini Tanzania kwenye uwanja wa Taifa. Mwaka jana Atletico na yao iliondolewa kwenye ngazi hio baada yakulazwa bao 1-0 na Vita Club ya DRC iliokuwa mgeni rasmi kwenye michuano hio.
Hii ndio kalenda ya Robo fainali ya michuano ya CECAFA KAGAME CUP , mashindo yanayoendelea nchini SUDAN yakusini.(Cecafa Kagame Cup 2013:Quart de Finale)
Jumaa-tano (Mercredi) 26/6/2013
Saa saba : 13h00 (GMT): Express(Uganda) vs APR FC(Rwanda)
Saa tisa :15h00 (GMT): Al Ahly Shandy (Sudan) vs Mereikh El Fsher(Sud Sudan)
Alkhamis ( Jeudi ) 27/6/2013
Saa saba :13h00 (GMT): Vitalo(Burundi) vs Ports(Djibouti)
Saa tisa :15h00 (GMT): Rayon Sports (Rwanda) vs URA(Uganda)

Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire