dimanche 26 mai 2013

Matokeo ya Primus League, wiki ya 14 : LLB AC. 3- 1 Atletico Olympic,Muzinga 1-1 Royal ,Flambeau 2-1 Flamengo...


Primus League ime endelea nchini ,apo chini ni matokeo ya wiki ya 14 , michuano 2 ( Vital'o Fc na Espor na Messager Ngozi - Inter Star ) imehairishwa . Mchuano wa Vital'o noi kesho Jumaa-tatu, mchua wa Message umepangwa kuchezwa kati kati ya wiki Jijini Ngozi .
Wiki ijayo ligi itaendelea kwa upande wa Timu za Mikowani na zile ambazo zingelichezea kwenye uwanja wa Mwanamfalme Louis Rwagasore zimerushwa na zitachezwa kati kati ya wiki ya nyuma baada ya mchuano wa duru ya marudiano    kati ya LLB na STADE MALIEN.

 Msimamo wa muda :

Equipe
GD Pts
1 FLAMBEAU 10 29
2 VITAL’O  19 28
3 ATHLETICO 13 27
4 ROYAL 5 23
5 LLB 7 21
6 INTER 4 20
7 MESSAGER NGOZI 0 18
8 ACADEMIE TCHITE -3 18
9 MUZINGA -2 17
10 PRINCE LOUIS -14 12
11 FLAMENGO -20 7
12 ESPOIR -19 5


Wiki ya 14 23-05-2013 TCHITE 1 : 0 PRINCE LOUIS
  24-05-2013 MUZINGA 1 : 1 ROYAL
  25-05-2013 FLAMBEAU 2 : 1 FLAMENGO
  25-05-2013 MESSAGER - : - INTER
  25-05-2013 VITAL’O - : - ESPOIR
  26-05-2013 ATHLETICO 1 : 3 LLB
Wiki ya 15 31-05-2013 TCHITE - : - ATHLETICO
  01-06-2013 LLB - : - VITAL’O
  01-06-2013 ESPOIR - : - ROYAL
  01-06-2013 FLAMBEAU - : - MUZINGA
  01-06-2013 MESSAGER - : - FLAMENGO
  01-06-2013 PRINCE LOUIS - : - INTER

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire