Msanii wakizazi kipya Pas Lee ambae alivuma baada ya mdaa mfupi kuingia kwenye game ya mziki wakati alipotowa pini zake za mwanzo zilizo konga nyoyo za wapenzi wa mziki nchini kama * I'm sorry,Gerezani,Nalia, Kizunguzungu feat Chuma cha chuma *. Safu hii ilipata fursa yakumu uliza shughuli anazokadiria kuzifanya hivi karibuni kwa upande wa mziki akatwambia kuwa :" Hivi kuna nyimbo tatu mpya niko natengeneza kama * Singo hii, Dorofia na Nakujali ... zipo njiani . Moja nili itengenezea kwenye studio Golden Records kwa Producer Kook k (Dorofia) . Nyingine nilifanyia kwa Clovis pro toka Hope studio ( Nakujali ) ,ya mwisho nili itengeneza kwa Zaki pro tarafani Kamenge kwa Lawi (Singo hii)."
mardi 23 avril 2013
Nyimbo 3 za Pas Lee zitatoka hivi karibuni ...

Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire