lundi 6 janvier 2014

Tizama Kipindi DIASPORA SHOW : BAKARI UBENA akiwa na SEMI AYUBU...



Bakari Ubena akiwa na AB.
SEMI AYUBU a.k.a AB msanii wakizazi kipya mzaliwa wa Mkoa wa Bujumbura , tarafani Kamenge aendeleya vizuri pande za Belgium , hiki ni kipindi alichopewa na BAKARI UBENA , mmoja kati ya Watangazaji waliojijengeya sifa kubwa kwa upande wa upashaji habari nchini ila kwasasa akiwa anaishi Belgium .
Akiwa pande zile aliamuwa kuanzisha kipindi maridadi kabisa kuwapa shavu juamia ya Burundi kutowa maoni yao kuhusikana na maisha ya kila siku bila kubagua secta,yani wanazungumzia muziki, michezo...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire