vendredi 30 août 2013
Cap Town : Picha za shooting ya video * Sugar mamy* by Dj Pro feat Mike Malone...
Mwana East africa , mtanashati ambae hana mfano wake kwa kuva vizuri Ramadhan Kiza a.k.a Dj pro kwa ushirikiano tosha na Abdul keshy mmiliki wa Keshy Video Lab. i 4Cos MEDIA wameitengeneza video jana Mjini Cap Town / South africa itakayo kuja kubadili muonekano wa video kadhaa kwenye kanda hii . Tulipo hojiana nae akiwa cap Town , Dj pro alifunguka nakutuwekea wazi kuwa :"Bila shaka watu wa pande hizo mtaikubali kazi yangu hio , na pengine ifunike *katoto ka mwaka mpya* ."
Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire