vendredi 1 mars 2013

Ingwe za marudio : (Buja) Vital'o fc - APR siku ya Jumaa-pili (Kigali) Police fc - LLB .

Ifikapo wikendi hii wiki mbili zitakuwa zimetimia kwa upande wa michuano ya Club bingwa barani africa ambapo timu ya Vital'o fc nyumbani Bujumbura itakuwa imeipokea Timu ya Majeshi ya APR kutokea Rwanda . Mjini Kigali Police fc itakuwa mbele ya washabiki wake kuipokea LLB ambapo kama mnakumbuka Bujumbura LLB ilifanya vyema kwakuilazimisha kwa bao 1-0, huku Vital'o fc ya Burundi kuabisha APR kwenye Uwanja wa Amahoro kwa bao 2-1. Habari ambayo tunayo mezani ni kuwa timu ya Vital'o fc imejianda vyakutosha kwani mwishoni mwa wiki hii  hakuna match hata moja iliocheza baada ya udongo kufurika watu na bahati nzuri watu kupona ikwa imesababisha  jopo la waamuzi (Referee) wa pambano hilo kuamuwa kusimamisha pambano hilo. Duru kutoka kwenye kamati ya maandalizi ya match (Comite d'organisation) ya shirikisho la dimba nchini Burundi (FFB) waliamuwa pambano hilo kuchezwa kwenye uwanja ule ule wa KIGANDA/Muramvya Jumaa-tano saa tisa , nakukata mzizi wa fitna kwa Washabiki na viongozi wa Vital'o fc ambao walikuwa wamependekeza match zote mbili zichezwe Bujumbura . LLB walisafiri wachezaji 17 toka Jumaa-tano kama tulivyo wajulisha , tulipo jadiliana na baadhi ya Wachezaji kwa njia ya facebook wametubainishia kuwa wako tayari kwenye pambano la kesho saa tisa saa za pale Kigali . Je APR itafunga Vital'o fc Bujumbura? LLB itailambisha mchanga Police mbele ya Washabiki wake Jijini Kigali? Wait and see...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire