samedi 2 mars 2013

Kidum ashkuriwa sana kwa Concert FESPAD Beach Party ya jana usiku...


Mwanamuziki Mrundi Jean-Pierre NIMBONA KIDUM jana alikubalisha Wapenzi wa mziki ususani wanyarwanda kwa ujumla kwenye bonge la Concert alio iyendesha kwa ushirikiano na Dr Claude,Ice Prince kutokea Nigeria ,Uncle Austin... Jana alidhihirisha uwazi kuwa Burundi bado tunasalia namba moja kwa upande wautumiaji wa alaa (Instruments) apo ni baada yakushirikiana na Warembo kama Gretta,Olga Lorie na Ariane kwakuzitia sauti za chini (backing) , kwa upande wa vyombo vilivyotumiwa nikiashiria Guitar,piano na vingine... Vijana wanao unda kundi la 'Mercenaire' wakiwemo Andy, Gilbert , Jeff , Amani...Duru tulio ipata toka nchini Rwanda ni kuwa hapo jana aliwakamuwa kweri kweri hadi wanabaki na deni na ata baadhi ya waliohudhuria kuvuwa kofia kwa Burundi kwa muziki live . Iyi ni hatuwa yakujivunia...

Ifahamike ya kuwa leo ndipo itafanyika Tamasha ya mwisho yakufunga Maonyesho na mashindano kwa upande wa muziki wa africa yanayo andaliwa kila baada ya miaka miwili nchini Rwanda maarufu sana kama FESPAD,leo Msanii kutokea marekani Beenie Man asubiriwa kwa hamu kwenye uwanja wa Amahoro...Burundi sisi atuwa iyo tutaifikia lini? Wait and see...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire