Kama tulivyowajulisha habari zinazo husu mashindano na maonyesho ya muziki nchini Rwanda maarufu kama FESPAD yanaendelea na ifikapo kesho yatakuwa yamegonga ukuta. Kidum kutoka Burundi kwa ushirikiano na kundi la 'Mercenaire' wako tayari kwa Tamasha kabambi ilio andaliwa leo hii tarehe 1/March Gisenyi,atajiunga na Wasanii wengine kama UNCLE AUSTIN na ICE PRINCE . Msikosi...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire