Siku za hivi karibuni pamekuwepo 'speculation' kuhusu kama Diamond Platnmuz na Mtangazaji wa DTV VJ Penny niwapenzi baada yakusambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii inayo waonyesha wakiwa pamoja kitandani. Tarehe 9/February/2013 ndipo Diamond alisibitisha rasmi kuwa kwa sasa anadata na Mrembo huyo kwausapoti picha ya Penny kwenye mtandao wa instagram nakuandika : #Mababymama#De'MumOfmyblood#MamayounDiamond#YounPlatnumz#YoungPrezident... Alafu kutokana na habari zilizo chapishwa kupitia tovuti ya bongo5 zinaonyesha kiasi gani Mama yake na Diamond wanaskilizana na Penny mpenzi wasasa wa mwanae Diamond. Ikumbukwe ya kwamba habari zilitapaka mitaani kuwa Msanii huo wa mitindo ya RNB kutokea bongo alirudishana na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu,habari hii imani ya kuwa imekuja kukata mzizi wa fitna wote waliokuwa na ubishi. Habari ndio hio...
lundi 18 février 2013
Tanzania : - It's official : Diamond na Penny ni wapenzi.

Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire