Msanii Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz amewasili tayari Jijini London kujumuika na Ali kiba aliyekuwepo kabla yake , kwa ajili ya ziara iliopewa jina la The Valentine Tour. Promota wa ziara hio Dj Rule wa kampuni ya Bongo Uk ndie amepost picha hio Dimpoz akiwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa London Heathrow Airport (LHR) Mpangilio kamili soma kwenye bango hilo apo chini...
Source: www.bongo5.com
Source: www.bongo5.com
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire