Wapendwa wasomaji wa blog hii , kipindi chanyuma tulikuchapieni habari kuwa Wasanii wawili Big Farious na T max wangelisafiri jana tarehe 15/April/2013 kuelekea bondeni ni kuwa hadi mdaa huu wanasumbuliwa na makaratasi kama alivyotwambia asubuhi ya leo Sony jamaa yake na Farious ;" Ameamkia kwenye ofisi za Ubalozi wa South africa nchini hapa , ameambiwa asubiri aone kama visa yake yaweza kuwa tayari alkhamis ao Ijumaa ili apite ajielekeza pande zile ." Baada ya saa kama 6 kupita tulihojiana na T max kwenye simu yake ya mkononi na akawa ametuandikia ujumbe mfupi huu :" Baba sorry safari yakujielekeza kwenda South T.Max na Big Fizzo haipo tena baada ya promoter kuleta mizinguo ataki kutuma adivansi wakati ndio yalikuwa makubaliano ." Je! Promota huo anazungumzia nini kutokana na usemi wawalengwa hawa ? Uchunguzi unaendelea...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire