vendredi 15 février 2013

Kigali: -Vital'o fc leo wapambana na APR saa tisa unusu kwenye uwanja wa AMAHORO Mjini Kigali...

Picha hio ilichukuliwa leo asubuhi kwenye ALPHA PALACE HOTEL
Burundi mwaka huu wa 2013 itawakilishwa na Vital'o fc kwa upande wamashindano ya Club bingwa barani africa na vile vile kwa upande wa Cecafa Kagame Challenge Cup. Kwa upande wa kombe la shirikisho Burundi itawakilishwa na Lydia Ludic Burundi Academic,ifikapo kesho kwa majala ya Mungu Vital'o fc ilio ondoka kwa kutumia njia ya chini kwakutumia gari,waliondoka Jumaa-tano jioni wakalala Ngozi,wakawa wamefika jana Mjini Kigali saa tano mchana,na wamefkia Alpha Palace Hotel . Timu ya Vital'o wanasema ya kuwa wako tayari kupambana kesho zidi ya wapinzani wao APR,timu ya majeshi ya pale nchi Rwanda. Alitwambia Justin KABENGELE NDIKUMANA :" Tuko tayari sio siri,mdaa wakupumzika tuliupata wakutosha,kesho tunaomba washabiki waje kutupa sapoti yao ambayo itakuwa muhimu sana kwetu. Tuna ahidi kuonyesha mchezo mzuri na wenye kurizisha,bila shaka akipenda Mungu ushinde utapatikana ." LLB yao itapambana Jumaa-pili saa tisa unusu kwenye uwanja wa Mwanamfalme zidi ya POLICE ya Rwanda...

Orodha ya wachezaji 18 walio safiri ni pamoja na :

1. Justin kabengele /*
2. Bipfubusa Methode
3. Nkurunziza D'Amour /*
4. Saidi Selemani
5. Nkurikiye Leopold alias Kaya /*
6. Abasi
7. Kaze gilbert alias Demunga /*
8. Iddy Djumapili alias Ido /*
9. Djafari Djumapili
10. Lule /*
11. Abdallah Manirambona /*
12.Nzigamasabo Styve /*
13. Pistis
14. John /*
15. Christian Mbirizi
16. Dody
17. Deo /*
18. Tambwe Amissi /*

N.B: Ao wenye wako na alama mbele ndio wanaoweza kuanza kwenyepambano lakesho kama hakuna mabadiliko.

Coach: Kanyenkore Gilbert YAOUNDE & Feruzi Haruna.

Orodha ya pambano za duru ya awali zitakazo chezwa ni pamoja na :

    1er Tour
 15,16,17/02/2013  Simba SCvsClube Rec.Libolo    
 15,16,17/02/2013  JSM BejaïavsOlympic FC    
 15,16,17/02/2013  RangersvsSporting Do.Principe    
 15,16,17/02/2013  Orlando PiratesvsDjabal FC    
 15,16,17/02/2013  MaxaquenevsMochudi C.Chiefs    
 15,16,17/02/2013  APRvsVital'O    
 15,16,17/02/2013  ZanacovsMbabane Swallows    
 15,16,17/02/2013  St. Michel UnitedvsTusker     
 15,16,17/02/2013  DynamosvsL.S.C    
 15,16,17/02/2013  C.A.BvsIttihad    
 15,16,17/02/2013  JamhurivsSaint George    
 15,16,17/02/2013  AS Vita ClubvsDynamic    
 15,16,17/02/2013  ZamalekvsGazelle FC    
 15,16,17/02/2013  Ashanti KotokovsSony de Ela Nguema    
 15,16,17/02/2013  1er AgostovsAS Adema    
 15,16,17/02/2013  Coton SportvsU.R.A    
 15,16,17/02/2013  M.A.TvsCasa Sport    
 15,16,17/02/2013  FUSvsReal De Banjul    
 15,16,17/02/2013  Union DoualavsLISCR    
 15,16,17/02/2013  HoroyavsSewe Sport    
 15,16,17/02/2013  A.F.A.DvsDiamond Stars    
 15,16,17/02/2013  Kano PillarsvsOlympique Bangui    
 15,16,17/02/2013  AC LeopardsvsCF Mounana    
 15,16,17/02/2013  A.S.P.A.C.FCvsA.S.F.Y    

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire