Blog yetu hii katika jitihada za kila siku imeichukuwa fursa yakukuonyesheni picha ya mama yake na mmoja kati ya wasanii wanaofanya vizuri kwa upande wa mziki. Huo mnakae muona pichani ndie mama yake na MUGANI Desire a.k.a Farious,a.k.a General Fizzo ao ukipenda muite Burundiano. Anaishi Makamba na mwenyewe Farious kipindi tulipokuwa tunafanya nae mizungu uko kuhusikana na mashindano ya Primusic robo,nusu fainali Mikowani alikiri kwa sauti kubwa :" Nampenda sana mama yangu " . Nilishuhudia kwa macho yangu na nikaskia kwa skio kila baada ya saa moja akiongea na mama yake akimuweka sawa kuhusikana na msafara tuliokuwa tunafanya . Ilinipa picha yakuonyesha kweli anampenda mama yake. Toka farious aliteremka likizo nchini alishamtembelea mara nyingi tu! Nia namuzumuni yakuwekeeni picha hii tulipenda tu muweze kumfahamu kwani wa mama wawengine Wasanii wa inje tunakuwa tukiwaona kupitia tovuti mbali mbali ila Wawasanii wanyumbani inakuwa ngumu. Blog yenu inakuahidini kukufikishieni habari zaidi kuhusikana na tasnia ya muziki hususani show biz ya kweli na yenye uhakika ya Wasanii wa nyumbani Burundi. Mama wa mungine Msanii mkae mkao wa kula mtaona picha yake kupitia hapa hapa (www.burundi-beat.blogspot.com),shukran...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire