jeudi 14 février 2013

NORWAY: -Femi De J'Abat :" Le vrai amour ne meurt jamais' (Ujumbe rasmi kwa siku hii ya wapendanao...)


Mwanamuziki mrundi NSENGIYUMVA MINANI Felicien alias Femi De Jabat anae ishi nchini NORWAY amejiunga na ulimwengu unakao sheherekea leo hii siku kuu ya wapendanao *Valentin day* nakuweza kuwatungia ujumbe (poeme) wa mapenzi kwenye lugha ya kifaransa,ila kutokana na tulivyo wazoeza kuwapeperushieni habari za kiswahili tukaona vizuri tuigeuze sawa na upokezi wetu mdogo ili iweze kutambulika hata kwa wasio tumia lugha iyo,enjoy...

Imetungwa na NSENGIYUMVA MINANI Felicien (Femi)

Mapenzi kamwe hayajifichi,hata midomo ikiwa imebanwa,mapenzi yanasema. penzi la dhati halisubiri kuandikwa,linajengwa na matamanivu na cheko yenye upendo. penzi la dhati haliuzwi na sarafu ,bali ni lenye kusubiri,linalo itika kila hali inayotokea,linalo samehe,lenye halibadiliki hadi kufa. Penzi la dhati linachukuwa na fasi ya juu na kamwe halifi!

Mpenzi,niwewe pendo langu lauhakika. Wewe ni mfupa wa mifupa yangu,nyama za mwili wangu zawadi isiokuwa na mfano,kutoka kwa Mungu. pamoja nawe mpenzi, maisha ni faraja tosha. Huwezi kufahamu ni kiasi gani nakupenda mpenzi wangu. Mimi nawewe tunakitu kinachotufanana nakitakacho tufanya tuishi milele na milele,zaidi hata ya urafiki,lakini penzi kubwa na lenye ufalme. Nilishakuandika tayari mtimani mwangu maisha yangu yote. Hata mbele ya kifo, chochote kitakacho fika,ntazidi kukupenda hadi mwisho.

Lawaridi,mimi na wewe, Valentin day ni kila siku mpenzi. Wakati wote ninakapo kuskia unasema,roho yangu inafarijika vyakutosha. Nawakati ninapo kuona,uzuri wa macho yako unauweka moyo wangu faraja.

Unapo nitazama,unatuma mtima wangu udunde,wewe ni faraja kwangu. Nakupenda. Unangaara kama nyota,mkee mwenye heshma, mwenye bei ndani ya maisha yangu. Kutokana nininavyo kupenda sana,bila wewe hakuna kinacho endeka. Leo hii,ni siku kuu yetu,nipe nafasi nikukumbatie Lawaridi wangu.

Mpenzi,mbona wewe mzuri sana mpenzi wangu! Unyenyekevu wako ni mtamu na mzuri,wewe ni kifaa na wahatari mpenzi. Cheko lako linatuma nilewe kwa furaha,wewe ni kipenzi, mtamu mwenye kutikisa kama ndege zinazotumwa angani (mirage). Vyote kwako ni vizuri,umepangika vyema na unaita upendo wangu kwako. Niwewe ndio nilikuwa naota,ulituma mtima wangu ukose amani,ulituma niangushe machozi,mpenzi. Wakati sikuoni,nakosa amani,pembezuni mwako naskia faraja mpenzi wangu.

Mpenzi,uko pekee yako rohoni mwangu ,niwewe ambae napenda na chaguo langu hadi kifo. Hata manyowa yaote kwenye kiganja, naona wewe tu,wewe ambae tayari nimezawadia nafsi yangu. Ninakiu mdaa wote nikuone,nikuongeleshe,nikupapase papase,nikutizame mara kwa mara na mara kwa mara mdaa mwingi. Nipeleke chumbani kwako, nipe nafasi muafaka wakiungia shambani mwangu na nile matunda matamu.

Mpenzi,mbele ya macho yangu wewe  hunakosa! ninapenda kuiskiliza maskioni sauti yako tamu kama yamalaika,inayodundisha mtima wangu na furaha isiokuwa na mfano. Ninapenda sana zile sauti ndogo ndogo unapo weka mdomo wako shingoni, kifkuto cha midomo yako unapo ikutanisha nayakwangu,na vidole vyako vyepesi unapo vigusisha mwilini mwangu bila kusahau mtima wako unakavyokuwa ukidunda sambamba na wa kwangu. Tambuwa kwamba kamwe sintoweza kupata furaha kwa mwanamkee mungine kinyume yako wewe mpenzi usiokuwa na mfano.

Mpenzi, wewe ni faraja ya nafsi yangu,nakupenda sana mpenzi wangu. Bila wewe,kuishi mpekwe habina maana.,bila cheko yako nzuri ninakayopenda kutizama na upendo,bila bimacho byako bizuri byenye kutulia na bizuri binakavyo nifanya niwaze,bila sura yako nzuri na yenye mvuto ninakayo ipenda kutizama. Siwezi kamwe kukuacha kwani wewe ndio byote mbele ya macho yangu,zaidi yakila kitu duniani. Mtu anapendaga limoja na moja kubwa kwenye maisha yake,mara nyingine ukipenda inakuwa ni mapenzi tu ya kawaida."

 * Kwa kifaransa:

Par Nsengiyumva Minani Félicien ( Femi )
L'amour ne peut pas se cacher, même à lèvres closes, l'amour parle. Le vrai amour ne suffit pas de l'écrire, il se construit par des sentiments et de sourires sincères. Le vrai amour ne s'achète pas avec des sous, il est inconditionnel, patiente, supporte tout, pardonne tout, reste inchangé jusqu'au dernier soupir. Le vrai amour prendra le dessus, et ne meurt jamais !

Chérie, tu es mon Grand et véritable Amour. Tu es l'os de mes os, la chair de ma chair un don incomparable, particulier de Dieu. Avec toi mon amour, la vie est un vrai bonheur. Tu ne peux pas savoir à quel point je t'aime mon amour. Nous avons toi et moi un lien qui restera soudé pour toujours, plus que de l'amitié, mais un Grand Amour suprême et sacré. Je t'ai tendrement gravé au fond de mon coeur pour l'éternité. Même devant la mort, quoi qu'il arrive, je t'aime bien mon amour jusqu'à l'infini.

Chérie, toi et moi, la Saint-Valentin, c'est tous les jours mon amour. Chaque fois quand je t'entends parler, mon coeur se dilate de joie. Et quand je te vois, le charme de tes yeux met mon coeur en fête. Par un seul de tes regards, tu me fais battre le coeur. Tu es mes surpers senti-joie, je t'aiiiime. Tu brilles comme une étoile, femme d'honneur, la plus chère être de ma vie. Comme je t'aime très fort, sans toi tout va mal. Aujourd'hui c'est encore notre fête, laisse-moi t'embrasser mon amour.

Chérie, comme tu es si belle mon amour ! Ta tendresse est délicieuse et agréable, tu es magnifique et spéciale mon amour. Ton sourire me rend ivre de joie, tu es désirable, ravissante et troublante comme un mirage. Tout en toi est beauté, harmonisé et appelle mon désir. C'est toi que j'ai tant rêvée, qui a trouble mon coeur et a coulé mes larmes, mon amour. Quand je ne te vois pas, je manque la paix, à côté de toi je me sens bien mon amour.

Chérie, tu es seule dans mon coeur, c'est toi que moi j'aime et que j'ai choisie pour toujours. Qu'il fasse jour ou nuit, je ne vois que toi à qui j'ai donné tout mon coeur. J'ai toujours soif de te voir, te parler, te toucher doucement et tendrement, te regarder de plus en plus souvent et de plus en plus longtemps. Conduits-moi dans ta chambre, fais-moi entrer dans mon jardin privé pour manger ses fruits délicieux.

Chérie, à mes yeux tu es parfaite ! J'aime toujours écouter ta douce voix angélique agréable à mes oreilles , qui dilate mon coeur de joie indicible. J'aime aussi bien le son de ton souffre sur mon cou, la chaleur de tes magnifiques lèvres sur ma joue et surtout sur ma bouche, et de tes doux doigts sur ma peau sans oublier la sensation de ton coeur qui bat si bien avec le mien. Sache bien que je ne trouverais jamais ce sentiment avec quelqu'une d'autre que toi mon unique amour incomparable.

Chérie, tu es la joie de mon coeur, je t'aime tant mon amour. Sans toi, vivre seul n'a pas de sens, sans ton joli sourire que j'aime bien regarder avec amour, sans tes beaux, grands et doux yeux qui me font rêver, sans ton si beau visage si tendre que j'aime tant admirer. Je ne pourrais jamais me passer de toi car tu comptes plus que tout à mes yeux, plus que tout au monde. On n'aime qu'une seule fois et unique Grand amour dans la vie, d'autres fois qu'on aime, ce sont des simples amourettes !

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire