jeudi 24 janvier 2013

Big Fizzo: " Ntazidi kuwakilisha January mpaka December..."

Pichani: Big Fizzo,Rally Joe & Sony Kabu cherche kabu trouve...
Msanii wa mitindo yakipekee MUGANI Desire a.k.a Burundiano kwenye likizo yake nchini Burundi hasinzii,anatumika kutwa kucha kwa nia moja yakuridhisha mashabiki wake na kuishimisha kazi yake. Msanii huo tulipata fursa yakuhojiana nae akatufahamisha kuwa yuko anatumika vyakutosha ili ahakikishe amemaliza likizo yake nchini amesimama na album nzima itakayobeba jina 'BURUNDIANO',itakayokusanya nyimbo zenye mvuto wa aina yake. Kwa mdaa huu tayari anazo kapuni pini 5 (Daima feat Samantha,Ndakumisinze,Mtima wangu feat R Flow,Nakulove) hivi karibuni ataacia hewani 'HUZUYE',baada ya hio niko na mpango mzima wakusapoti vizazi vipya haswa haswa Wasanii ambao walifanya na ambao wanafanya vyema nchini,apo nazungumzia MATABARO Patient nyimbo 'Asante mola'(Nyimbo nilikuwa nafkiria kuitumikia kwa Big base ila ningali natafakari wapi ntaitolea hadi mdaa huu). mungine ni  Rally joe ambae bado wanapanga gahunda yakutowa nyimbo pamoja, ELL'S Boy atanipa shavu kwenye pini yake 'Bonge la demu' . Alimalizia nakutwambia :" Namsubiri Haruna,Manager mkuu wa IKHO MULTISERVICE ili aje tumalizie swali nzima la mkataba kuhusu kuzi shoot videos zote za audios ntakazo horedhesha kwenye album yangu, kwa hio ujumbe tosha kwa washabiki wangu wote ni kuwa mimi kama Big fizzo ntazidi kuwakilisha January hadi december,kwa hio mkao wa kula mambo yako jikoni,videos zenye ufundi wa hali ya juu na kijana Guerra man toka Ikho multiservice,na mzungu uko kwenye Studio tofauti tofauti za hapa nchini kuhusikana na mlolongo mkali na wenye mvuto wa nyimbo zitakazo konga nyoo washabiki wangu na wasio kuwa wa kwangu." Habari ndio hio...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire