Leo hii tarehe 26/January ligi ya Primus daraja la kwanza nchini Burundi imeendelea kwa vishindo,kati ya timu 12 zinazoshiriki kwenye kinyanganyiro cha msimo wa 2012-2013,timu 8 ndizo zilichuwana kwenye viwanja tofauti. Matokeo ya leo yalikuwa ifwatavyo:
*Bujumbura : Vital'o fc 3-0 Muzinga
*Bujumbura Rural : Espoir 0 -6 Atletico Olympic
*Muramvya : Royal fc 1 - O Inter star
*Ruyigi : Flambeau de l'est 0 - 0 Lydia ludic
-Ifikapo kesho,match 2 zinasubiriwa,nazo ni pamoja na :
*Bujumbura; Saa nane: Prince Louis - Messager Ngozi
Saa kumi: Flamengo - Academie tchite.
Msimamo wa muda tukilinganisha na Timu zilizo chuwana leo:
----------------------------------------------------------------------------------
1. Lydia Ludic 15 points +8
2. Flambeau de l'Est 15 points +6
3. Atletico Olympic 13 points
4. Vital'o fc 13 points
5. Royal fc 12 points
--------------------------------------------
8. Muzinga 8 points
10.Inter Star 7 points
11. Espoir 3 points
N.B: kesho akipenda Mungu msimamo kamili wa wiki ya 7 tutauwafikishieni...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire