dimanche 27 janvier 2013

Primus League: Prince Louis 2- 3 Messager Ngozi, Flamengo 3-0 Academie Tchite...


Jioni ya leo Ligi ya taifa iliendelea,match 2 zilizokuwa zimesalia ili Timu zote zikamilishe michezo 7 zimechezwa,matokeo ya pambano hizo ni:

*Bujumbura : Saa nane : Prince Louis 2-3 Messager Ngozi.
                     Saa kumi : Academie Tchite 0-3 Flamengo fc

Msimamo wa wiki ya 7
------------------------------
1. Lydia Ludic 15 points +8
2. Flambeau de l'Est 15 points +6
3. Atletico Olympic 13 points
4. Vital'o fc 13 points
5. Royal fc 12 points

6. Messager Ngozi 10 points
7.Academie tchite 9 points (Inamichezo 8)
8. Prince louis 9 points
9.Muzinga 8 points
10.Inter star 5 points
11. Flamengo 3 points
12.Espoir 3 points (Inamichezo 8)


N.B : Mwisho wa wiki hii itaendelea akipenda mungu...
------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire