Mzaliwa wa Nyanza-lac ,Mkoani Makamba
LILL-P ifikapo tarehe 28/9/2013 nchini Australia, Mjini Brisbane atashiriki kwenye mashindano ya
"African Talent Show Audition " , moja kati ya mashindano yanayo andaliwa Mjini pale kwa niya na mazumuni yakuwapa shavu wasanii kutokeya barani africa kuonyesha uzowefu wao kupitiya muziki . Msanii huyo alichonga na BB akawa ametufahamisha :"Tarehe 28 ni kweli ntashiriki kwenye mashindano hayo , niko kambini najianda vyakutosha kwa muda huu , vile vile nikisubiri ujio wa nyimbo yangu mpya inayosimama na jina la *
I'M FREE* nyimbo ya kwanza niliyotumiya kiswahili na kirundi .
LILL-P baada ya kuwa ninazo kapuni pini 2 nilizoimba kingereza kitupu . Siku hiyo hiyo nitakuwa na bonge la tamasha nililoanda kwa niaba ya familia tofauti tofauti za hapa Brisbane, ki ingilio ni bure."
|
Bango ya tamasha atakayo endesha... |
Habari kamili kuhusikana na mashindano hayo vile vile na pini hiyo BB inayafwatiliya kwa karibu...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire