Amani ya Mungu iwe juu
yenu wapendwa wa blog hii ,nyinyi ambao mnaopenda maendeleo ya tasnia ya
muziki,utamaduni kwa ujumla tunayo furaha kubwa yakukufahamisheni kuwa
mashindano tulio yaanzisha tarehe 6/January/2013 atuwa ya kwanza kwa uchaguzi
kupitia tovuti ya www.burundi-beat.blogspot.com yamefkia ukingoni,na kwasasa kinacho fwata
nikipengele cha pili ambacho kitawapa fursa nyinyi washabiki kuzitowa kura zenu
kwa wale mnao wapenda ao mnao hisi kuwa
walifanya vyema mwaka 2012 hadi tarehe ya mwishokabla yakuzitowa tunzo .
Nia na mazumuni ya mashindano haya ni baada
ya kuwa wadau wa mziki nchini walitukabizi tunzo tofauti tofauti kwa juhudi na
kazi nzuri tulio zifanya kwa niaba yakutowa mchango kwa kusapoti tasnia yenyewe
nchini natukaona ni vyema tuendeleye kutowa mchango wetu kwakuanzisha blog
ambayo itakuwa inaweka kinaga ubaga yale yote mazuri na yasio endeka vizuri kwashaba
yakukuza nakuendeleza tasnia yetu nchini ili ata wenye wako nje ya nchi wawe
wanafahamu yanayo jiri kwao .
Best Journalist of the year/ Akeza Awards 2012 |
(AH & Kidum) 1st Best Journalist Radio Presenter/10 in 1 Birashoboka. |
(AH & Nova) Big Talents - Cousins Awards 2012 |
Shaba nyingine ina ambatana nasheherehe
yakuadimisha miaka 6 (Anniversaire de 6
ans) tukiwa tunafanya kazi hii kupitia vibuyu vya anga vya Radio Station . Tumechukuwa
jukumu yakuyaanzisha mashindano ambayo ndani yake patapatikana washindi
kwa kila category na atakae bahatika kuwa na kura nyingi moja kwa moja kupewa
tunzo ambayo ni moja kati ya ala (instruments) ya utamaduni inayo tumiwa nchini (Inanga)
.Kwa wale wapenzi waliofwatilia kwa karibu , uchaguzi kupitia tovuti yetu ulianza
rasmi tarehe 6/January/2013 (tarehe yakuanzishwa rasmi blog yenyewe) ,na leo
hii tarehe 6/July/2013 yamegonga ukuta nakuitowa fursa kwa walio chagulia kwa wingi kuweza
kuingia kwenye atuwa ya pili ambayo ina anza tarehe ya leo hadi tarehe 6/9/2013
saa tano na dakika 59.(23h59’).Kwakukuwa tunzichapa habari za michezo husussani
(football)na kuwa wapo wale wanaozidi kuitangaza nchi ya Burundi kwakuweka
mbele utamaduni,jopo nzima yamaandalizi imeamuwa kuongeza category 3 (Musique
traditonnelle , Best Football player/Burundi na mu Diaspora).
Fahamu vizuri :
*Tarehe 6/August/2013
– 6/September/2013: Uchaguzi kupitia SMS MEDIA (Ujumbe mfupi kupitia sim
zakiganjani).
- Alama(points) zitakazo patikana
kwenye miezi miwili zitajumuishwa naza SMS MEDIA ili tupate Mshindi wa kwanza
kwa kila Category. Tarehe ya Sherehe ni 7/September/2013 , sehemu (Place)
yakuzipana tunzo tutaiwafahamisha baadae…
- Wote
wanaoshindana na waliotoka kutokuwa na alama nyingi ndio waliotamba sana kwenye
vipindi vya promotion tulivyokuwa tunaviendesha kwenye radio , na hao wengine
kinyume na waimbaji walichaguliwa baada ya kamati ya maandalizi ya tunzo hizi
kukutana nakuwachaguwa wale ambao waliofanya vizuri sana kuliko wengine (Les
Meilleurs )kwenye category tofauti wakiwa wamegawanyika kwenye makundi ya 17 .
·
Wanaogombea na fasi ya kwanza ni :
1/ Best
female artist of the year
1.Natasha
2. Miss
Erica
3.
Samantha Nzeyimana
4. Channy Queen
5. Olga
Lorie
2/ Revelation of the year
1.Samandari
2. Tatty Star
3. Kiki Toure
4. Master Land/Ngozi
5. Sal G
3/ Best
artist of the year
1. Big Fizzo/ France
2. Chris D/ South africa
3. Rally
Joe
4. Kidum
/Kenya
5. Mkomboz
4/ Best
Male artist / style hip hop
1. Idriss Maniragaba
2.
Fabilove
3. 19th
4. Franck Mwanajeshi
5. Small Dogg
5/ Best
artist /Style Rnb
1. R Flow
2. Pas Lee
3. Jay Fire
4. Black
G
5.
Franck G80
6/ Best group of the year
1. Question G
2. Peace & Love
3. Lion Story
4. The Cousins
5. Indimu
7/ Best artist of the year/Gospel
1. Fabrice Nininahazwe
2. Prince Mshindi
3. Jiji
Seven
4.
Bigirimana Forltand
5. Adora Uwimana
8/ Best artist / Diaspora
1. Baino /Kenya
2. Andy Cool /Belgium
3. Dj Philip /Usa
4. 50 D/Belgium
5. Ss Mwalim/ South Africa
9/ Best Editor of the year
1. Guera Man
2. Black Arthur
3. Willy Sirabahenda
4. Pacifique Nzitonda ”Paci”
5. Kent P
10/ Best Producer of the year/Audio
1. Amir pro/M.A prod. +Next level Rec.
2. Botchum Pro /Ikho multiservice
3. Liser classic/Buja Records
4. Yves Kolly/G-G prod.
5. A Tizo technology/ Kisu rec.
11/ Best Jounalist of the year
1. Dj Raphan/Radio & Tv salama
2. Dj Ashanti/Rema FM
3. Franck
Espoir/Renaissance FM
4. Davy Carmel /Bonesha FM
5.
Christian Nsavye/Radio Isanganiro
12/ Best Journalist Reporter of the year
1. Landry Mugisha/Akeza.net
2.Abou The Carther/Ikho Mult.
3. King Yann Cool/ Glm
4. Deo Kivumbi/ Isangi.com
5.Thierry Niyungeko/ffb.bi
13/ Best Radio promoter of the year
1. Radio Salama :
92.3Mhz-104.4Mhz
2. Radio Culture :
88.2Mhz-99.9Mhz
3. CCIB FM+ :
99.4Mhz
4. BONESHA FM :
96.8 Mhz-87.7Mhz-102.4Mhz
5. RPA : 93.7Mhz-107.1Mhz
14/ Best Artist / tradionnel music
1. Shazzy
Cool
2. Emelance
Emy Niwizere
3. Steven
Sogo
4. Alfred& Bernard
15/ Best Football-player/Burundi
1. Tambwe Amissi/Vital’o
2. Habarugira Christophe alias Lucio/LLB
3. Issa Hakizimana aliasVidic/LLB
4. Kaze Gilbert alias Demunga/Vital’o
5. Yvan Rugumandiye/Goolkeeper – Muzinga.
16/ Best
Football-player/Diaspora
1. Yameen Selemani/Soudan
2. Papy
Faty / South africa
3.
Ntibazonkiza Saidi / Pologne
4. Amissi
Cedric / Rwanda
5. Abdul-Razzak
Fiston /Congo-Rwanda.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire