Msanii NSHIMIYIMANA Voisin ambae atambulika sana nchini Burundi kwenye collabo alizozifanya na Wanao unda kundi la "PANTALON" (Silas Damara na MC Original ) na hao wakijulikana kupitia nyimbo kama 'ukuri','Mugisagara'... Aliongea na safu yetu hii nakuweza kutubainishia kuwa hivi karibuni atakuteremka Burundi kuja kumtambulisha familia mchumba wake kutokea Kenya. Alitwambia :"Nakuja soon na my fiancee Virginia Wangare from kenya for the mariage with 3 new track kutoka kwa R Kay . Ngoma ni Museke weya,twende party..." Ifahamike ya kuwa Msanii huo anazoweleka kimziki kupitia nyimbo 'Baby girl,africa,beautyfull,na vision kali feat R flow',nyimbo yake akiwa pekee yake inajulikana kwa jina la '
Nibeza ' ikiondoka na mitindo ya Raggaton ."
Nibeza ' ikiondoka na mitindo ya Raggaton ."
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire