Pambano zidi ya timu ya Askari Police, Police fc ya Rwanda na Lydia Ludic Burundi Academic limechezwa leo hii kwenye Uwanja wa Nyamirambo baada ya kuwa kwenye Uwanja wa
AMAHORO pamengwa kufanyika maonyesho ya muziki wa Africa maarufu kama
FESPAD . LLB baada yakutofanya vyema kwenye ligi ya taifa (Primus League) nakufungwa michezo mitatu mfululizo na ivo kuweka matatani Viongozi na Washabiki wa timu hio kwani walikuwa na imani kuwa haitoweza kufanya vyema kwenye pambano lakimataifa zidi ya Police nchini Rwanda . Mchuano huo umechezwa kwenye hali ya mvua mvua ambayo ilinyesha ila haikuwa nyingi kama tulivyo pata habari kupitia kituo cha Radio binafsi (RPA) kupitia Mtangazaji
Massoud BIKORIMANA . Bao la LLB lilipachikwa na
SAIDI KAYUMBA lilifungwa kwenye dakika ya 23,bao lakugombowa kwa upande wa Police fc lilifungwa na
NSHYIMIRIMANA Imran kwenye kipindi cha pili baada ya Wachezaji wa LLB kuonyesha uchovu . LLB ndio itaendelea . Kesho Vital'o fc itapambana na APR saa tisa unusu Jijini Bujumbura kwa upande wa Club bingwa barani Africa . Hongera sana...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire