Baada ya habari tulio ichapa kuhusu kukamatwa kwa TIMBULO msanii wa miondoko ya bongo flava nchini Burundi akiwa na madawa yakulevya , tuliendelea na uchunguzi wa kina tukawa tumekuta kumbe maskini ya mungu hakuwa yeye bali alikuwa ni mungine wanae fanana . Baada ya kimya kirefu TIMBULO ametoka shimoni nakusema kuwa ni vyema kuitowa pini mpia ambayo itakuja kuzungumzia historia hio ambayo wengi baadhi ya watu waliamini kuwa ni kweli , alisema :" Nimefanya pini mpia 'Sina makosa' kutokana na historia kubwa ya siku za nyuma watu wengi walikuwa wakiamini kuwa TIMBULO nadili na madawa yakulevya ,story zimezagaa pande zote lakini is not true,si kweli mimi naishi maisha yangu yale yale ya kawaida na wala biashara hizo siwezi kamwe kuzifanya ndio maana sina makosa ." habari ndio hio...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire