Wasanii wa miondoko ya bongo flava waliokuwa zamani wakiunda kundi moja la Wanaume family , kisha baadae wakawa wamegawanyika ifikapo siku ya Pasaka kwa waumini wa dini ya Kikristo watakuwa kwenye pambano la mwaka lakuitaji kufahamu nani Mfalme wa TEMEKE . Habari tulizozipata toka pande zile ni kuwa maandalizi ni yote toka pande zote mbili . Maelezo zaidi kuhusikana na tamasha hio , soma bango hio apo juu...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire