Timu ya Police kutokea nchini Rwanda iliwasili jana Mjini Bujumbura, timu hio itapambana ifikapo kesho saa tisa na nusu kwenye uwanja wa Mwanamfalme Louis Rwagasore na Lydia Ludic burundi Academic. Wachezaji hao wa Police fc waliteremka bila wachezaji wao kadhaa kutokana na matatizo ya passport. po nikizungumzia kama Nahodha wao UWACU Jean Bosco,Ernest KWIZERA na Goalkeeper wao namba moja Evariste MUTUYIMANA. Kwa upande wa Mkufunzi wao GORAN wana ahidi kufanya vyema kesho saa tisa unusu .
Orodha ya Wachezaji 18 ambao wako tayari kesho,ni pamoja na:
1.MutuyimanaEvariste
2.Ganza Alexis (Bebe)
3.Uwacu Jean Bosco
4.AboubaNshimiyimana
5.Ndaka Freddy
6.FabriceTwagizimana
7.AmanUwiringiyimana
8.Jean D’Amour
9.Ndikumasabo Ibrahim
10.Innocent Habyarimana
11.Jacques Tuyisenge
12.Kagabo Peter
13.KwizeraErneste
14.Ndahayo Eric
15.MungurarebaAphrodis
16.NdayishimiyeYoussufKabishi
17.Nshimiyimana Imran
18.Mugabo Innocent
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire