Msanii Mrundi KEJIMANA Florian a.k.a Flo Kez anae ishi nchini China kwasasa ameongea na safu yetu hii kuwa anaendelea vizuri pande zile na anajihisi kuwa nyumbani japo kuna vitu flani flani hapati akiwa kule. Ametufahamisha ya kuwa yuko na nyimbo yake mpia inakayojulikana kama " FEEL THE PAIN " na anamulika hivi karibuni kurikodi nyingine mpia. Alitwambia :" Niko na nyimbo 1, na hivi karibuni pini yangu ya 2 itawafikieni,na andelea vizuri uku na niko kwenye kundi la muziki ambalo halijapangwa jina , ninajishughulisha nakupiga guitar." Ifahamike ya kwamba Msanii huo miaka ya nyuma alikuwa anaishi Burundi , alipokuwa urunalisomea shule la Secondary la International (Ecole International) kabla yakusafiri kujielekeza China . Mwaka 2005 alipokuwa anaimba kwenye kanisa ya Cathedral Jinini Bujumbura,alitowaga nyimbo yake ya kwanza iliojulikana kama * Souvenir* ilitamba sana kwenye vituo vya Radio tofauti tofauti nchini . Twamtakia mafaanikio mema...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire