samedi 16 février 2013

Champions league: Vital'o fc(Burundi) 2 - 1 APR (Rwanda)


Timu ya Vital'o fc kama alivyotangaza mwanzo Goalkeeper namba 1 wa Vital'o fc Kabengele Justin kuwa watafanya vyema kwenye pambano lilowapambanisha na timu ya APR ya Rwanda hali ndivyo ilitokea kwenye uwanja wa AMAHORO Mjini Kigali. Bao la kwanza la Vital'o fc lilipatikana dakika ya 24' ao 28 tukilinganisha kauli mbili za maripota waliokuwa laivu mjini kigali apo nikikusudia Ramadhan Kbuga wa RTNB na Massood Bikorimana wa RPA kila mmoja kusema dakika zake, bao hilo lilifungwa na NKURIKIYE Leopold alias Kaya,la pili likapachikwa na Tambwe Amissi kwenye dakika ya 67. APR ilipata bao 1 lilofungwa na kijana SEKAMANA Maxime(71').  match yamarudiano ni mu wiki 2 jijini Bujumbura. Kadi 2 za njano zilipewa kuwachezaji wa Vital'o fc (Justin na Demunga),Marefa walikuwa wote 4 kutokea Uganda. Hongera sana Vital'o fc...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire