Ulipo lala muwili wa hayati MATATA... |
Ilikuwa tarehe kama ya leo ambapo nchi ya Burundi ilimpoteza mmoja kati ya Waimbaji mahiri,alifariki baada ya kuzifanya tamasha kubwa kubwa katika Miji tofauti nchini South africa.Jean Christophe MATATA atazidi kukumbukwa Burundi na ulimwenguni kutokana na kazi nzuri alio ifanya ya mziki na kuacha nyuma yake ujumbe tofauti tofauti unao jenga kombaini ya Wasanii wasasa nchini Burundi.Hatujapata ripoti yeyote yakuwa atakumbukwa kama ilivyokuwa mwaka jana, wakati halaiki ya watu walikutania Kinama alipo zaliwa kwenye bonge la tamasha. R.I.P Matata...
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire