mardi 22 janvier 2013

USA: -Dj Philip:" Zasalia nyimbo 3 album yangu ikamilike..."



Msanii MINANI Philipo a.k.a Dj Philip ameongea na safu yetu hii kuhisikana na mipango yake ya karibu anayomulikia kuifanya kwenye mwaka huu,mmoja kati ya mipango yake,alitujulisha kuwa :" Album yangu itakayo kuja kwa jina la AKANA KA MABUKWE inafika ukingoni ,panabaki song 3 ili ikamilike."Album hio itashindikizwa na nyimbo zifwatazo:

1.Akana Ka Mabukwe by DJ Philip
2.JandaJanda by DJ Philip ft Oga
3.Forever by DJ Philip
4.Kugasozi k'inanzerwe by DJ Philip
5.True Love by DJ Philip ft Jay Ram
6.Sexy Lady by DJ Philip

Nazingine 4 zenye hazijarikodiwa lakini ziko tayari kwenye maandalizi nazo ni pamoja na:
7.Paradizo La Mapenzi by DJ Philip
8.Mbwira by DJ Philip
9.Show Me Your Love by DJ Philip
10.Hallo by Dj Philip



Alimalizia nakusema:"Album itakuja kwa jina la 'AKANA KA MABUKWE' na itamalizika kati ya mwaka huu,napangilia kuifanyia uzinduzi jijini Bujumbura nilipo angusha kitofu itakuwa kati ya mwaka huu." Alimalizia nakusema kuwa:" Washabiki na wapenzi wa mziki wasikose kungojaa hii Album kali kwa hamu kwa sababu ina miondoko ya aina zote maneno mazito yanayo konga mitima na ushauri tosha kwa jamii."

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire