mardi 8 janvier 2013

Uganda: -Sat b:" Jana nimerikodi nyimbo na kundi la Wise man."


Pichani: Sat b akiwa na Washington ilikuwa ni jana wakiwa kwenye gari wanatoka kurikodi.

Msanii BIZIMANA Aboubakar Karume a.k.a Sat b anaendelea vyema nchini Uganda na mpango wake mzima wakurikodi nyimbo zake mpya na Wasanii wa pande za kule na vile vile kuitangaza tasnia ya mziki maeneo ya kule.jana alifanya kazi yake ya pili  baada ya 'She is my fashion' aliofanya colabo na CINDY.Jana alijiunga na kundi 'Wise man' linalo undwa na Wasanii vigogo wa kanda ya east africa kama Kitoko,Urban Boys,Ryder man kutoka Rwanda,Bolo kutoka Uganda na ndie tulifanya nae hio nyimbo kwa ushirikiano pia na Best Producer WASHINGTON.Asubuhi ya leo nilimu uliza Sat b:

*AH: Vipi Bro,naona mambo si mabaya?

* Sat b: Namshkuru Mungu kweli,hii ni moja kati ya ndoto niliokuwa nafkiria kufkia siku moja,yaani WASHINGTON.

*AH: Nyimbo mlifanya inaitwa aje? Na ipi itafwata?

*Sat b: Inaitwa 'Tanganyika girl',ni nyimbo ya kundi lao 'Wise man',kwasasa namsubiri KITOKO atoke Belgium ili tufanye nae nyimbo tulio ipewa na WASHLNGTON ambae kwa sasa amekuwa mzazi Producer wangu.

*AH : Burundi njo haurudi?

*Sat b: Aaaaahhha....mi Mrundi,na Burundi njo nyumbani lazima nirudi...

NB: Mtatuweya radhi kwa quality ya picha hio,hatuna namna nyingine kwani sisi tupo bujumbura,tokeo limetokea Kampala.


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire