jeudi 24 janvier 2013

KONANGWE STYLE :" Bado tupo tupo..."

Wasanii GIRUKWISHAKA SANGO a.k.a Surviver ,MAJAMBERE Alain a.k.a Maja so! na NDIHOKUBWAYO Abdul a.k.a Ndee-ho wanao unda kundi nzima la KONANGWE STYLE wameifahamisha blog hii kuwa bado wapo kwenye game la mziki wa hapa nchini,kauli hio ni baada ya kimya cha mdaa mfupi walichokuwa nacho kwa mdaa huu. alitwambia SANGO :" Hivi tuko tunajianda vyakutosha kwakuziweka hadharani videos zetu za nyimbo za audios tulizo zitowa kwa ushirikiano tosha na Studio KIM FRANCIS Records,mdaa sio mrefu mtaanza kuziona kupitia viona mbali na mitandao ya kijamii ya internet."
Ifahamike ya kuwa wako wanatumika videos za nyimbo:
-i'm surviver
-Say ayeya
-urajeba ...


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire