jeudi 27 juin 2013

CECAFA KAGAME CUP : VITAL'O FC 6 - 0 PORTS (Itacheza nusu fainali...)

Vital'o Fc,mchuano zidi ya APR ya Rwanda.

Timu ya daraja la kwanza nchini Burundi,moja kati ya klabu kongwe ili ifunza kandanda timu kutoka Djibouti ya PORTS bao 5 kwa bila , zilizofungwa kipindi cha kwanza cha mchuano huo pamoja na (Tambwe Amissi 3,Mbirizi 1 na  Deo 1) . Vijana wa Coach Kanyankore walifanya vyema kipindi cha pili nakutofungwa bao lolote bali walikuja juu nakuzipata na fasi nyingi ila bila mafaanikio yoyote na Mungu kuwasaidia kupata bao moja pekee,ikaja kuwa jumla ya bao 6 kwa 0 . Itakutana nusu fainali kati ya mshindi wa mchuano wa URA (Uganda) na Rayon Sport (Rwanda) . Ifahamike ya kuwa apo jana zilifahamika timu mbili zitakazo pambana nusu fainali nazo zikiwa pamoja na : APR (Rwanda) na Merreich Fasher ya Kusini mwa Sudan.

 Matokeo ya Robo fainali :
- Express 0-2 APR FC
- Al Ahly Shandy 1-1 Merreich Fasher (Penalty : 2-3)


- 14h00: Vitalo 6 - 0Ports
- 16h00: Rayons Sport-URA (?)


Mafaanikio mema kwa balozi wa Burundi Vital'o FC....

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire