samedi 9 mars 2013

Bukavu : Big Fizzo na Mr Happy walipokelewa kama wafalme Jijini Bukavu / DRC...

Gari aina ya TI ndilo walisafiri nalo jana
Jana ndipo Big Farious alisafiri nakuelekea nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwenye bonge la Tamasha ilio andaliwa kwa niaba yakusheherekea siku kuu ya Wakina mama ulimwenguni . Walisafiri jana mida ya saa tano mchana hadi saa kumi jioni walikuwa wameshafika ,walipokelewa kwa shangwe na vigeregere... Baazi ya raia walikubali kweli kuwa Msanii huo kwenye ni General kwani pande zote anawakilisha . Kama ilivyokuwa Uvira wiki za nyuma,alishirikiana kwa mara nyingine na Hassan Ibrahim a.k.a Mr Happy Famba . Wako tayari kukonga nyoyo za wapenzi wa mziki leo na kesho pale pale Bukavu ...Yaweza kuwa ni mwanzo wa msafara,jana ilikwa UVIRa,Leo Bukavu,kesho kwanini isiwe KINSHASA ? Wait and see..

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire