dimanche 28 juillet 2013

Primusic 2013 : Mfura Alain Michel na Ntaganzwa Olga Lorie watawakilisha Mkoa wa Kirundo...

Olga Lorie
Kwa upande wa mashindano ya Primusic 2013 kama tulivyo wafahamisheni Mkoa wa Ngozi ndiwo uliweza kuyapokeya mashindano hayo yakiwa yameingia kwenye siku yake ya 5. Wasanii 42 ndio waliwasili kushindana ila kwenye orodha yawaliojiandikisha walikuwa wasanii 19 pekee yao hao wengine waliongeweka kwakujiandikishia sehemu mashindano hayo yalipo fanyika. Wasanii 10 waliopita kushindana kwenye fainali ni pamoja na :" Mfura Alain Michel, Olga Lorie Ntaganzwa... , Rugayinterana Tharcisse,Tugizimana Thierry, Tuzura Deo ,Ndayikengurutse Dieudonné , Nahayo Yves , Bigirimana Philbert , Niyongabire Eric na Mutama Rachid ." Wasindi 2 waliojipatia fursa yakuwakilisha Mkoa wao ni pamoja na Mfura Alain Michel na Olga Lorie Ntaganzwa . Ifahamike ya kuwa Olga Lorie anaishi Bujumbura ila alipendelea kushindania Mkoani alipozaliwa .

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire