lundi 9 septembre 2013

Primusic 2013 : Picha za Tamasha ya *TRY OUT* jana Jumaa-pili kwenye ukumbi wa COCKTAIL BEACH


Farious na Samantha wakiwa pamoja Jukwaani...Jana Jumaa-pili kwenye ukumbi wa COCKTAIL BEACH ufukweni ndipo palifanyika tamasha yakutambulisha rasmi wasanii 6 waliokata tiketi yakushiriki fainali ya Primusic 2013 .

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire