samedi 2 février 2013

SOUTH AFRICA: -SHILOLE asubiriwa kwa hamu tarehe 17/02/2013...

Kampuni ya The mafia & Big gunz Entertainement inakufikishieni akipenda mungu SHILOLE a.k.a Malkia wa mduara ,Msanii wa miondoko ya mduara na vile vile muigizaji wa filamu mbali mbali kutoka nchini Tanzania ifikapo tarehe 17/february/2013. Mnyama Mafia ambae alijiusisha na mpango mzima wakuongea nakuafikiana kumfikisha Msanii huo bodeni alitwambia kuwa :"kampuni yetu baada yakufanya vyema kwakuanda tamasha kubwa kubwa nchini hususani Wasanii wakubwa wakubwa kama Diamond na Wema Sepetu,tumeamuwa kukinukisha nakuwezesha msanii Shilole ateremke South africa kuja kuwaonyesha makali yake washabiki wake. Alimalizia nakusema :"The Mafia & Big Gunz Entertaiment wanaunguza kitaa hicho,msikosi." Msanii huo kwa muda huu anatamba sana Bongo kwa nyimbo zake zenye mvuto wa hali ya juu. Mpangilio mzima soma kwenye bango hilo...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire