lundi 15 avril 2013

Tamasha ya Africa Nova ilifanyika jana kwenye ukumbi wa Musee Vivant ya Bujumbura

Africa Nova akiwa mazoezini kabla ya tamasha ya leo...
Msanii mkongwe RUGERINYANGE Marie-Antoine alias Africa Nova jana Jumaa-pili aliendesha Tamasha kwenye ukumbi wa Musee Vivant , Tamasha ya leo ilikuwa ya mwisho tukilinganisha kalenda tulio ipewa na walio anda , viongozi wa Centre culturel Christophe Matata . Tamasha ya kwanza ilifanyika Ijumaa Kiriri , ya pili ikafanyika Bar Isango , na ya mwisho kufanyika leo . Watu wengi wali itika wito na kumu unga mkono Msanii huo mwenye umri wa miaka 63 alie rusha vumbi nakuacha raia hoi kupitia nyimbo zake zenye mvuto,mafunzo na zinazo burudisha ile mbaya . Kwenye Tamasha hio Wasanii mbali mbali walijiunga nae nikizungumzia kama : Samandari , Mkomboz , Steven Sogo na Leonce Ngabo... Ali ilimisha nakuburudisha na nyimbo zake zilizo tamba na hadi mdaa zazidi kutamba kwenye ulimwengu wa buja flava . Ifahamike ya kuwa Tamasha zote alizo ziendesha alitumia alaa (Live music) nakushindikizwa na Hope Street ya Irambona Steven Sogo ...

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire